Polisi wamefanikiwa kuua kwa kumpiga risasi mshambuliaji alishambulia kwa nguvu nyumba ya makamu rais wa kenya William Ruto.
Tukio hilo lilitokea mapema jana ambapo wakati walivyovyamia nyumbani kwake bw.Ruto pamoja na familia yake hawakuwepo nyumbani.
Ripoti z awali zilisema shambulio hilo lilifanywa na watu wengi ila taarifa za polisi zinasem shambulio hilo lilifanywa na mtu mmoja.
"Hakuna tishio kwa sasa kwasababu alikuwa peke yake"alisema mkuu wa jeshi la polisi Joseph Boinet.
Jiunge na mauricemackytz.com sasa
0 Maoni