Ifikapo mwaka 2040 magari mapya yatumiayo petroli na disel yataondolewa barabarani Uingereza kama njia ya kukbiliana na uchafuzi wa hali ya hewa.
Mawaziri pia watazindua ufadhili wa pound milioni 255 kusaidia kukabiliana na gesi chafu kutoka kwa magari yanayotumia diseli ikiwa ni sehemu ya pound bilioni 3 za kusaidia kusafisha hewa.
- Kampuni ya VOLVO yaanza kutengeneza magari ya umeme
serikali itaanza mikakati ya usafi wa hali ya hew kwahyo watapendekeza matumizi ya magari yanayotumia umeme .wanaotetea hatua hii wanataka serikali kufadhilli kuwepo sehemu zenye hewa safi huku wale walio na magari yanayochafua kulipishwa faini.
- Baadhi ya miji Ulaya yapiga marufuku mafgari yatumiayi Diesel
mawaziri walilazimika kufanya mikakati ya kusafisha hewa mwezi mei huku hatua za mwisho zikitajwa tarehe 31 mwezi huu
0 Maoni