TANGAZA HAPA

Marekani wameunda jopo la kuchunguza tuhuma za Urusi

robert

Baraza maalumu linalochunguza Urusi kuingilia uchaguzi wa marekani mwaka jana lmeunda jopo kuu ambalo litakuwa likiongoza na bw.Robert Mueller ambae alishawahi kuwa mkurugenzi wa FBI.

Jopo hilo la Robert Mueller ambalo litaanza kazi wiki za hivi karibuni limeagiza kukusanya ushahidi kuhusu mkutano wa juni mwaka jana kata ya mtoto wa rais wa wa marekani na wakili mmjoja wa Urusi.

Jopo hilo la mahakama limewaita mashahidi kuzungumzia juu ya mkutano uliofanyika kati ya mtoto wa rais wa marekani Trump Jr...uliofanyika juni mwaka 2016.

Rais Trump anapinga vikali madai yanayosema kuwa maafisa wake wameshirikiana na serikali ya urusi kumshind mpinzani wake Bi. Hillary Clinton katika uchaguzi wa rais uliofanyika mwak 2016.

donald Trump

Jopo kubwa la mahakama ambalo limekuwa likikutana Washington DC limekuwa likifanya uchunguzi baina ya Donald Trump Jr. na raia wa urusi sasa linaonyesha wazi linaanza kumuingilia na rais Donald Trump.



Jiunge na mauricemackytz.com sasa

Unaweza kutufuatilia kwenye mitandao yetu ya kijamii Facebook Twitter pamoja na Instagram

Chapisha Maoni

0 Maoni