Waziri mkuu wa urusi bw.Dmitry Medvedev anasema mambo yanatoendelea kati ya merakini na taifa lao ni sawa na kutangaza vita ya kibiashara.
Waziri huyo anasema mikakati iliyotiliwa saini na rais trump inaonyesha udhaifu wa rais huyo ambae anasema ameaibishwa na bunge la congress.
Reshia hiyo inalenga kuiadhibu Urusi baada ya kuingilia uchaguzi wa marekani mwaka 2016 pamoja na vitendo vyake dhidi ya Ukraine.
Waziri huyo wa Urusi alionya kuwa hatua mpya zinazolenga kumuondoa rais huyo wa marekani madarakani zitachukuliwa kwakuwa siyo mtu alie na utaratibu.
Moscow ambayo imekuwa ikikana kuingilia uchaguzi huo wa marekani imelipiza kisasi baada ya wiki iliyopita kuwatimua maafisa 755 wa ubalozi wa marekani nchini Urusi pamoja na kutumia jengo moja la kimarekani pamoja na Ghala moja nchini moscow.
Jiunge na mauricemackytz.com sasa
0 Maoni