TANGAZA HAPA

VIDEO: Jay-Z akiri kuwana mchepuko katika ndoa yake

Rapper na C.E.O wa roc Nation Jay Z amekiri kutok nje ya ndoa na kuwa na mahusiano na wanawake wengine wakati akiwa katika ndoa yake.

Jay Z ambaye ni mume halali wa mwanamuziki Beyonce amekiri kufanya kosa hilo kwa mara ya kwanza kupitia jarida la Style la gazeti la The New York Times alipokuwa akiongea na Editor wa jarida hilo aitwaye Dean Baquet ambapo alielezea sababu za yeye kuamua kufanya hivo ikiwemo kujiwekea vizuizi kutokana na matatizo aliyokumbana nayo alipokuwa mtoto, jambo ambalo lilimfanya kujifungia na kuwa uzinifu.

Mwaka 2013 kulikuwa na uvumi kuwa Rapper huyo alikuwa akimsaliti mke wake hali iliyochochea watu kuamini baada ya kusambuliwa na ndugu wa mkewe Solange Knowles katika lifti.
TIZAMA HAPA:


Jiunge na mauricemackytz.com sasa
Unaweza kutufuatilia kwenye mitandao yetu ya kijamii Facebook Twitter pamoja na Instagram

Chapisha Maoni

0 Maoni