Kikosi cha polisi usalama barabarani nchini Kenya kimetangaza kufunga barabara na nairobi kwa siku ya leo Agosti 5,2022 ilikupisha hukumu ya shauri la kupinga matokeo ya uchaguzi wa uraisi.
Taarifa iliyotolewa na kiongozi wa kikosi cha usalama barabarani kaunti ya Nairobi Vitalis Otieno imesema kuwa barabara hizo zitafungwa masaa 2 kabla ya kesi kuanza kusikilizwa.
0 Maoni