TANGAZA HAPA

Kesi ya Zumaridi imeahirishwa hadi Septemba 23, 2022

                     

Mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Mwanza inayosikiliza kesi namba 11 ya usafirishaji haramu wa binadamu inayomkabili Diana Bundala maarufu kama Zumaridi,leo Septemba 9, 2022 imeshindwa kuendelea kutokana na upande wa jamuhuru kushindwa kukamilisha upelelezi wa kesi hiyo kwa zaidi ya miezi nane (8) ambapo hakimu mkazi mfawidhi Monica Ndiyekombora ameiahirisha kesi hiyo na itatajwa tena Septemba 23, 2022.

Chapisha Maoni

0 Maoni