Raisi wa Zanzibar Dkt Hussein Ali Mwinyi leo Septemba 2, 2022 amekubali barua ya kujiuzulu ya mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya Kuzuia rushwa na uhujumu uchumi Zanzibar (ZAECA) Ahmed Khamisi Makarani.
Hatua hii inafuatia maelekezo ya Dkt Mwinyi kuitaka ZAECA kujitathmini baada ya hivi karibuni kupokea ripoti ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali (CAG).
0 Maoni