Rais wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Hassan amefanya teuzi mbimbli katika Sekta ya Afya kama ifuatavyo; Amemteua Prof. Mohammed Yakubi Janabi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Muhimbili kuchukua nafasi ya Prof. Lawrence Maseru ambaye amestaafu pia amemteua Dkt. Peter R. Kisenge kuwa Mkurugenzi mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete.
0 Maoni