TANGAZA HAPA

RC Makalla ametatua mzozo stendi ya Magufuli

 


Mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam Amos Makalla ameondoa katazo lililokuwa likizuia mabasi yaendayo mikoania na nje ya nchi kutoruhusiwa kupakia abiria au kushusha katika vituo binafsi na kuruhusu stendi binafsi Tano(5) zilizokaguliwa na Latra kuendelea kutoa huduma kwa shatri la kuingia na kutoka katika stendi ya magufuli huku akiagiza manispaa ya ubungo kukaa na wamiliki wa stendi binafsi kuangalia njia sahihi ya kuweza kukusanya mapato.

Pc Makalla ametoa maamuzi hayo katika kikao cha pamoja kati ya LATRA, wamiliki wa stendi binafsi na halmashauri ya manispaa ya ubungo na kubaini kuwa waliotengeneza vituo binafsi walifwata taratibu na kupatiwa vibali na Latra baada ya kukidhi vigezo.

Chapisha Maoni

0 Maoni