Shirikisho la soka nchini TFF limetoa taarifa kwa umma juu ya kupitisha winga wa klabu ya Yanga SC Tuisila Kisinda,ambapo hapo awali TFF ilizuia usajili wa mchezaji huyo kutokana na klabu ya Yanga kushindwa kufwata matakwa ya taratibu za usajili wa wachezaji wa kigeni
0 Maoni