Club ya yanga imetangaza rasmi kumrudisha winga wao wazamani raia wa Congo Tuisila Kisinda baada ya kuitumikia club ya RS Berkane tangu alipojiunga nao August 13 2021, lakini yanga bado hawajaweka wazi kama winga huyo amerudi kwa mkopo au kama wamemnunua jumla.Vilevile yanga wamemsajili aliekuwa staa wa Sinba SC Clatous Chota Chama.
0 Maoni