Kutokana na sintofahamu inayoendelea baada ya klabu ya Yanga kuzuiwa usajili wa mchezaji Tuisila Kisinda TFF imetoa ufafanuzi juu ya maamuzi hayo.
TFF imesema usajili wa wachezaji wa kigeni hasa klabu ambazo timu zao zinacheza mashindano ya kimataifa ulishapitishwa nakamati ya sheria na hadhi za wachezaji ya TFF,ambapo katika mazingira maalumu ilishughulikia haraka usajili wa wachezaji hao ili wawahi usajili wa shirikisho la mpira wa miguu Afrika (CAF).
0 Maoni